The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 5 › Zekaria 5:3

Zekaria 5:3

Akaniambia, “Hii ni laana inayotoka kwenda juu ya nchi yote, kwa kuwa kufuatana na yale yaliyoandikwa katika upande mmoja, kila mwizi atafukuziwa mbali, pia kufuatana na yaliyo upande wa pili, kila aapaye kwa uongo atafukuziwa mbali.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said he unto me, This is the curse that goeth forth over the face of the whole earth: for every one that stealeth shall be cut off as on this side according to it; and every one that sweareth shall be cut off as on that side according to it.

In Context

2Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini + 5:2 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. na upana wa dhiraa kumi.” + 5:2 Dhiraa 10 ni sawa mita 4.5.

4Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, ‘Nitaituma hiyo laana, nayo itaingia katika nyumba ya mwizi na nyumba ya huyo aapaye kwa uongo kwa Jina langu. Itabaki katika nyumba yake na kuiharibu, pamoja na mbao zake na mawe yake.’ ” 1 Maono Ya Saba: Mwanamke Ndani Ya Kikapu

Read all of Zekaria 5

Cross References

Leviticus 19:11“ ‘Usiibe. “ ‘Usiseme uongo. “ ‘Msidanganyane.

Deuteronomy 11:28laana kama hamtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

Deuteronomy 28:15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:

Deuteronomy 29:19Wakati mtu wa namna hii asikiapo maneno ya kiapo hiki, hujibariki mwenyewe na kisha hufikiri, “Nitakuwa salama, hata kama nikiendelea kuifuata njia yangu mwenyewe.” Hili litaleta maafa juu ya nchi iliyonyeshewa sawasawa na nchi kame.

Psalms 109:17Alipenda kulaani, 2 nayo laana ikampata; 1 hakupenda kubariki, 2 kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 1

Proverbs 29:24Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake mwenyewe; 2 huapishwa lakini hathubutu kushuhudia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 5:2Zekaria 5Zekaria 5:4 →