The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 5 › Zekaria 5:4

Zekaria 5:4

Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, ‘Nitaituma hiyo laana, nayo itaingia katika nyumba ya mwizi na nyumba ya huyo aapaye kwa uongo kwa Jina langu. Itabaki katika nyumba yake na kuiharibu, pamoja na mbao zake na mawe yake.’ ” 1 Maono Ya Saba: Mwanamke Ndani Ya Kikapu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will bring it forth, saith the LORD of hosts, and it shall enter into the house of the thief, and into the house of him that sweareth falsely by my name: and it shall remain in the midst of his house, and shall consume it with the timber thereof and the stones thereof.

In Context

3Akaniambia, “Hii ni laana inayotoka kwenda juu ya nchi yote, kwa kuwa kufuatana na yale yaliyoandikwa katika upande mmoja, kila mwizi atafukuziwa mbali, pia kufuatana na yaliyo upande wa pili, kila aapaye kwa uongo atafukuziwa mbali.

5Kisha yule malaika aliyekuwa akizungumza nami akanijia na kuniambia, “Tazama juu uone ni nini kile kinachojitokeza.”

Read all of Zekaria 5

Cross References

Deuteronomy 7:26Msilete vitu vya machukizo katika nyumba zenu kwani ninyi, mtatengwa kama vitu hivyo kwa maangamizo. Ukichukie kabisa kitu hicho kwa kuwa kimetengwa kwa maangamizo.

Joshua 9:20Hivi ndivyo tutakavyowafanyia: Tutawaacha waishi, ili ghadhabu isije juu yetu kwa kuvunja kiapo tulichowaapia.”

Job 8:22Adui zako watavikwa aibu, 2 nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”

Job 20:26giza nene linavizia hazina zake. 1 Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, 2 na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake. 1

Habakkuk 2:9“Ole wake yeye ajengaye milki yake kwa mapato ya udhalimu, 2 awekaye kiota chake juu, 2 ili kukimbia makucha ya uharibifu! 1

James 5:2Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 5:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 5:3Zekaria 5Zekaria 5:5 →