Zekaria 9:11
Kwako wewe, kwa sababu ya damu ya Agano langu nawe, 2 nitawaacha huru wafungwa wako 2 watoke kwenye shimo lisilo na maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 5:31Lakini wewe baki hapa pamoja nami ili niweze kukupa maagizo yote, amri na sheria ambazo utawafundisha wazifuate katika nchi ninayokwenda kuwapa waimiliki.”
2 Chronicles 7:17“Kwa habari yako wewe, kama ukienenda mbele zangu kama Daudi baba yako alivyoenenda na kufanya yote nikuamuruyo, nawe ukizishika amri zangu na sheria zangu,
Psalms 40:2Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, 2 kutoka matope na utelezi; 1 akaiweka miguu yangu juu ya mwamba 2 na kunipa mahali imara pa kusimama. 1
Psalms 102:19“ Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, 2 kutoka mbinguni alitazama dunia, 1
Isaiah 42:7kuwafungua macho wale wasioona, 2 kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, 1 na kuwafungua kutoka gerezani 2 wale wanaokaa gizani. 1
Isaiah 49:9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ 2 nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ 1 “Watajilisha kando ya barabara 2 na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 1