Zekaria 9:12
Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; 2 hata sasa ninatangaza kwamba 2 nitawarejesheeni maradufu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 42:10Baada ya Ayubu kuwaombea rafiki zake, Bwana akamwondoa kwenye uteka, akamfanikisha tena naye akampa mara mbili ya vile alivyokuwa navyo hapo mwanzoni.
Isaiah 40:2Sema na Yerusalemu kwa upole, 2 umtangazie 1 kwamba kazi yake ngumu imekamilika, 2 kwamba dhambi yake imefanyiwa fidia, 1 kwamba amepokea kutoka mkononi mwa Bwana 2 maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote. 1
Isaiah 52:2Jikungʼute mavumbi yako, 2 inuka, uketi kwenye kiti cha enzi, ee Yerusalemu. 1 Jifungue minyororo iliyo shingoni mwako, 2 ee Binti Sayuni uliye mateka.
Jeremiah 31:6Itakuja siku wakati walinzi watakapowapigia kelele 2 juu ya vilima vya Efraimu wakisema, 1 ‘Njooni, twendeni juu Sayuni, 2 kwake Bwana Mungu wetu.’ ”
Jeremiah 50:4“Katika siku hizo, wakati huo,” 2 asema Bwana, 1 “watu wa Israeli pamoja na watu wa Yuda 2 wataenda wakilia ili kumtafuta Bwana Mungu wao. 1
Jeremiah 51:10“ ‘ Bwana amethibitisha haki yetu; 2 njooni, tutangaze katika Sayuni 2 kitu ambacho Bwana Mungu wetu amefanya.’ 1