Zekaria 9:15
na Bwana Mwenye Nguvu Zote atawalinda. 1 Wataangamiza na kushinda 2 kwa mawe ya kutupa kwa kombeo. 1 Watakunywa na kunguruma kama waliolewa mvinyo; 2 watajaa kama bakuli linalotumika kunyunyizia 2 kwenye pembe za madhabahu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 27:2Tengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, na ufunike madhabahu kwa shaba.
Leviticus 4:18Atatia sehemu ya hiyo damu juu ya pembe za madhabahu yaliyo mbele za Bwana katika Hema la Kukutania. Damu iliyobaki ataimwaga chini ya madhabahu ya kuteketezea sadaka, penye ingilio la Hema la Kukutania.
1 Samuel 17:45Daudi akamwambia yule Mfilisti. “Wewe unanijia na upanga, mkuki na fumo, lakini mimi ninakujia kwa jina la Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa majeshi ya Israeli, ambaye wewe umemtukana.
Song of Solomon 1:4Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! 1 Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake. Marafiki 1 Tunakushangilia na kukufurahia, 1 tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai. Mpendwa 1 Tazama jinsi ilivyo bora wakupende! 1
Song of Solomon 7:9na kinywa chako kama divai 2 bora kuliko zote. Mpendwa 1 Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu, 2 ikitiririka polepole juu ya midomo na meno. 1
Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1