The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 9 › Zekaria 9:14

Zekaria 9:14

Kisha Bwana atawatokea; 2 mshale wake utamulika 2 kama umeme wa radi. 1 Bwana Mwenyezi atapiga tarumbeta, 2 naye atatembea katika tufani za kusini, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD shall be seen over them, and his arrow shall go forth as the lightning: and the LORD GOD shall blow the trumpet, and shall go with whirlwinds of the south.

In Context

13Nitampinda Yuda kama nipindavyo upinde wangu, 2 nitamfanya Efraimu mshale wangu. 1 Nitawainua wana wako, ee Sayuni, 2 dhidi ya wana wako, ee Uyunani, 2 na kukufanya kama upanga wa shujaa wa vita. 1 Bwana Atatokea 1

15na Bwana Mwenye Nguvu Zote atawalinda. 1 Wataangamiza na kushinda 2 kwa mawe ya kutupa kwa kombeo. 1 Watakunywa na kunguruma kama waliolewa mvinyo; 2 watajaa kama bakuli linalotumika kunyunyizia 2 kwenye pembe za madhabahu. 1

Read all of Zekaria 9

Cross References

Exodus 14:24Karibia mapambazuko, Bwana akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.

Joshua 10:11Walipokuwa wakikimbia mbele ya Israeli kwenye barabara iteremkayo kutoka Beth-Horoni hadi Azeka, Bwana akawavumishia mawe makubwa ya mvua kutoka mbinguni, na wengi wao wakauawa na hayo mawe kuliko wale waliouawa kwa upanga wa Waisraeli.

Job 37:9Dhoruba hutoka katika chumba chake, 2 baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 1

Psalms 18:15Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwako, Ee Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 1

Psalms 77:17Mawingu yalimwaga maji, 2 mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, 2 mishale yako ikametameta huku na huko. 1

Isaiah 18:3Enyi mataifa yote ya ulimwengu, 2 ninyi mnaoishi duniani 1 wakati bendera itakapoinuliwa milimani, 2 mtaiona, 1 nayo tarumbeta itakapolia, 2 mtaisikia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 9:13Zekaria 9Zekaria 9:15 →