Sefania 1:13
Utajiri wao utatekwa nyara, 2 nyumba zao zitabomolewa. 1 Watajenga nyumba, 2 lakini hawataishi ndani yake; 1 watapanda mizabibu 2 lakini hawatakunywa divai yake. 1 Siku Kubwa Ya Bwana 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:30Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Deuteronomy 28:51Watakula wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako mpaka umeangamia. Hawatakuachia nafaka, divai mpya au mafuta, wala ndama wowote wa kundi lako au wana-kondoo wa kundi lako mpaka umekuwa magofu.
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Isaiah 65:21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1
Jeremiah 4:20Maafa baada ya maafa, 2 nchi yote imekuwa magofu. 1 Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, 2 makazi yangu kwa muda mfupi. 1
Jeremiah 9:11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, 2 makao ya mbweha; 1 nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa 2 ili asiwepo atakayeishi humo.”