The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 2 › Sefania 2:10

Sefania 2:10

Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao, 2 kwa kutukana na kudhihaki 2 watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

This shall they have for their pride, because they have reproached and magnified themselves against the people of the LORD of hosts.

In Context

9Hakika, kama niishivyo,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mungu wa Israeli, 1 “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma, 2 Waamoni kama Gomora: 1 mahali pa magugu na mashimo ya chumvi, 2 nchi ya ukiwa milele. 1 Mabaki ya watu wangu watawateka nyara; 2 mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.” 1

11Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao 2 atakapoangamiza miungu yote ya nchi. 1 Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, 2 kila moja katika nchi yake. 1 Dhidi Ya Kushi 1

Read all of Sefania 2

Cross References

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 37:22hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “Bikira binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1

Jeremiah 48:14“Mwawezaje kusema, ‘Sisi ni mashujaa, 2 watu jasiri katika vita’? 1

Ezekiel 38:14“Kwa hiyo, mwanadamu, tabiri na umwambie Gogu: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Katika siku ile, watu wangu Israeli watakapokuwa wanaishi salama, Je, wewe mwenyewe hutalijua hilo?

Daniel 5:20Lakini moyo wake ulipokuwa na majivuno na kuwa mgumu kwa kiburi, aliondolewa kutoka kwa kiti chake cha ufalme na kuvuliwa utukufu wake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 2:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 2:9Sefania 2Sefania 2:11 →