The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 2 › Sefania 2:14

Sefania 2:14

Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale, 2 viumbe vya kila aina. 1 Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba 2 wataishi juu ya nguzo zake. 1 Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani, 2 kifusi kitakuwa milangoni, 2 boriti za mierezi zitaachwa wazi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And flocks shall lie down in the midst of her, all the beasts of the nations: both the cormorant and the bittern shall lodge in the upper lintels of it; their voice shall sing in the windows; desolation shall be in the thresholds: for he shall uncover the cedar work.

In Context

13Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini 2 na kuangamiza Waashuru, 1 akiiacha Ninawi ukiwa 2 na pakame kama jangwa. 1

15Huu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furaha 2 wakijisikia salama. 1 Ulisema moyoni mwako, 2 “Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.” 1 Jinsi gani umekuwa gofu, 2 mahali pa kulala wanyama pori! 1 Wote wanaopita kando yake wanauzomea 2 na kutikisa mkono kwa dharau.

Read all of Sefania 2

Cross References

Isaiah 13:21Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, 2 mbweha watajaza nyumba zake, 1 bundi wataishi humo 2 nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo. 1

Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru

Jeremiah 22:14Asema, ‘Nitajijengea jumba kuu la kifalme, 2 na vyumba vya juu vyenye nafasi kubwa.’ 1 Hivyo anaweka ndani yake madirisha makubwa, 2 huweka kuta za mbao za mierezi, 2 na kuipamba kwa rangi nyekundu. 1

Zephaniah 2:6Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi, 2 patakuwa mahali pa wachungaji 2 na mazizi ya kondoo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 2:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 2:13Sefania 2Sefania 2:15 →