The Bible Software
bible.softwareZephaniahZephaniah 2 › Zephaniah 2:13

Zephaniah 2:13

Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya kaskazini 2 na kuangamiza Waashuru, 1 akiiacha Ninawi ukiwa 2 na pakame kama jangwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he will stretch out his hand against the north, and destroy Assyria; and will make Nineveh a desolation, and dry like a wilderness.

In Context

12“Ninyi pia, ee Wakushi, 2 mtauawa kwa upanga wangu.” 1 Dhidi Ya Ashuru 1

14Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale, 2 viumbe vya kila aina. 1 Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba 2 wataishi juu ya nguzo zake. 1 Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani, 2 kifusi kitakuwa milangoni, 2 boriti za mierezi zitaachwa wazi. 1

Read all of Zephaniah 2

Cross References

Psalms 83:8Hata Ashuru wameungana nao 2 kuwapa nguvu wazao wa Loti. 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

Micah 5:6Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga, 2 nchi ya Nimrodi kwa upanga. 1 Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru 2 atakapoivamia nchi yetu 2 na kuingia katika mipaka yetu. 1

Nahum 2:10Ameharibiwa, ametekwa nyara, ameachwa uchi! 2 Mioyo inayeyuka, magoti yanalegea, 1 miili inatetemeka, 2 na kila uso umebadilika rangi. 1

Nahum 3:15Huko moto utakuteketeza, 2 huko upanga utakuangusha chini 2 na kama vile panzi, watakumaliza. 1 Ongezeka kama panzi, 2 ongezeka kama nzige! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zephaniah 2:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zephaniah 2:12Zephaniah 2Zephaniah 2:14 →