Isaiah 13:21
Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, 2 mbweha watajaza nyumba zake, 1 bundi wataishi humo 2 nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 34:11Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1
Isaiah 34:14Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, 2 nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; 1 huko viumbe vya usiku vitastarehe pia 2 na kujitafutia mahali pa kupumzika. 1
Revelation 18:2Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: 1 “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! 2 Umekuwa makao ya mashetani 1 na makazi ya kila pepo mchafu, 2 makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye. 1