Sefania 3:10
Kutoka ngʼambo ya mito ya Kushi 2 watu wangu wanaoniabudu, 1 watu wangu waliotawanyika, 2 wataniletea sadaka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1
Isaiah 18:1Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, + 18:1 Au: wa nzige. 2 kando ya mito ya Kushi, 1
Isaiah 27:12Katika siku ile Bwana atapura kutoka matiririko ya Mto Frati hadi Kijito cha Misri, nanyi ee Waisraeli, mtakusanywa mmoja mmoja.
Isaiah 60:4“Inua macho yako na utazame pande zote: 2 Wote wanakusanyika na kukujia, 1 wana wako wanakuja toka mbali, 2 nao binti zako wanabebwa mikononi. 1
Isaiah 66:19“Nitaweka ishara katikati yao, nami nitapeleka baadhi ya hao walionusurika kwa mataifa, hadi Tarshishi, kwa Puli + 66:19 Puli hapa inamaanisha Libya. na Waludi (wanaojulikana kama wapiga upinde), kwa Tubali na Uyunani, hadi visiwa vya mbali ambavyo havijasikia juu ya sifa zangu au kuuona utukufu wangu. Watatangaza utukufu wangu miongoni mwa mataifa.
Malachi 1:11Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa, kuanzia mawio ya jua hata machweo yake. Kila mahali uvumba na sadaka safi zitaletwa kwa Jina langu, kwa sababu Jina langu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.