The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 3 › Sefania 3:8

Sefania 3:8

Bwana anasema, 2 “Kwa hiyo ningojee mimi, 2 siku nitakayosimama kuteka nyara. 1 Nimeamua kukusanya mataifa, 2 kukusanya falme 1 na kumimina ghadhabu yangu juu yao, 2 hasira yangu kali yote. 1 Dunia yote itateketezwa 2 kwa moto wa wivu wa hasira yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore wait ye upon me, saith the LORD, until the day that I rise up to the prey: for my determination is to gather the nations, that I may assemble the kingdoms, to pour upon them mine indignation, even all my fierce anger: for all the earth shall be devoured with the fire of my jealousy.

In Context

7Niliuambia huo mji, 2 ‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’ 1 Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali, 2 wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake. 1 Lakini walikuwa bado na shauku 2 kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.” 1

9“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, 2 kwamba wote waweze kuliitia jina la Bwana 2 na kumtumikia kwa pamoja. 1

Read all of Sefania 3

Cross References

Deuteronomy 32:21Wamenifanya niwe na wivu 2 kwa kile ambacho si mungu, 1 na kunikasirisha kwa sanamu zao 2 zisizokuwa na thamani. 1 Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. 2 Nitawafanya wakasirishwe 2 na taifa lile lisilo na ufahamu. 1

Psalms 27:14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.

Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1

Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1

Psalms 123:2Kama vile macho ya watumwa 2 yatazamavyo mkono wa bwana wao, 1 kama vile macho ya mtumishi wa kike 2 yatazamavyo mkono wa bibi yake, 1 ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu, 2 mpaka atakapotuhurumia. 1

Proverbs 20:22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 3:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 3:7Sefania 3Sefania 3:9 →