1 Nyakati 1:34
Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. 1 Wana wa Isaki walikuwa: 2 Esau na Israeli. 1 Wana Wa Esau (Mwanzo 36:1-19) 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abraham begat Isaac. The sons of Isaac; Esau and Israel.
In Context
35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1
Cross References
Genesis 25:19Hivi ndivyo vizazi vya Isaki mwana wa Abrahamu. Abrahamu akamzaa Isaki,
Genesis 25:25Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina lake Esau. + 25:25 Esau maana yake Mwenye nywele nyingi.
Genesis 32:29Yakobo akasema, “Tafadhali niambie jina lako.” Lakini akajibu, “Kwa nini kuniuliza Jina langu?” Ndipo akambariki huko.
Malachi 1:2Bwana asema, “Nimewapenda ninyi.” “Lakini ninyi mnauliza, ‘Wewe umetupendaje?’ ” Bwana asema, “Je, Esau hakuwa ndugu yake Yakobo? Hata hivyo nimempenda Yakobo,
Luke 3:34Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, 1 Yakobo alikuwa mwana wa Isaki, 1 Isaki alikuwa mwana wa Abrahamu, 1 Abrahamu alikuwa mwana wa Tera, 1 Tera alikuwa mwana wa Nahori, 1
Romans 9:10Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani, baba yetu Isaki.