2 Samweli 5:18
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Philistines also came and spread themselves in the valley of Rephaim.
In Context
Cross References
Genesis 14:5Mnamo mwaka wa kumi na nne, Mfalme Kedorlaoma na wafalme waliojiunga naye walikwenda kupigana na kuwashinda Warefai katika Ashtaroth-Kanaimu, Wazuzi katika Hamu, Waemi katika Shawe-Kiriathaimu,
Joshua 17:15Yoshua akajibu, “Kama ninyi ni wengi sana, na kama nchi ya vilima ya Efraimu ni ndogo sana kwenu, pandeni msituni mkafyeke eneo kwa ajili yenu wenyewe huko kwenye nchi ya Waperizi na Warefai.”
2 Samuel 23:13Wakati wa mavuno, viongozi watatu kati ya viongozi thelathini walishuka, wakamwendea Daudi katika pango la Adulamu, wakati kikundi cha Wafilisti kilikuwa kimepiga kambi katika Bonde la Warefai.
Isaiah 17:5Itakuwa kama mvunaji akusanyavyo nafaka 2 na kuvuna nafaka kwa mikono yake, 1 kama wakati mtu aokotapo masazo ya masuke 2 katika Bonde la Warefai. 1