2 Samuel 23:13
Wakati wa mavuno, viongozi watatu kati ya viongozi thelathini walishuka, wakamwendea Daudi katika pango la Adulamu, wakati kikundi cha Wafilisti kilikuwa kimepiga kambi katika Bonde la Warefai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Cross References
Joshua 15:35Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka,
2 Samuel 5:18Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,
1 Chronicles 11:15Wakuu watatu miongoni mwa wale thelathini, walimwendea Daudi katika mwamba huko kwenye pango la Adulamu, wakati kikundi cha Wafilisti kilikuwa kimepiga kambi katika Bonde la Warefai.
Isaiah 17:5Itakuwa kama mvunaji akusanyavyo nafaka 2 na kuvuna nafaka kwa mikono yake, 1 kama wakati mtu aokotapo masazo ya masuke 2 katika Bonde la Warefai. 1