The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 14 › 1 Nyakati 14:11

1 Nyakati 14:11

Hivyo Daudi pamoja na watu wake wakakwea mpaka Baal-Perasimu, + 14:11 Maana yake ni Bwana Afurikae. akawashinda huko. Akasema, “Kama maji yafurikavyo, Mungu amewafurikia adui zangu kwa kutumia mkono wangu.” Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Baal-Perasimu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So they came up to Baal-perazim; and David smote them there. Then David said, God hath broken in upon mine enemies by mine hand like the breaking forth of waters: therefore they called the name of that place Baal-perazim.

In Context

10Hivyo Daudi akamuuliza Mungu: “Je, niende kuwashambulia hao Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Bwana akamjibu, “Nenda, nitawatia mikononi mwako.”

12Wafilisti walikuwa wameacha miungu yao huko, Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.

Read all of 1 Nyakati 14

Cross References

2 Samuel 5:20Ndipo Daudi akaenda mpaka Baal-Perasimu, na huko akawashinda Wafilisti. Akasema, “Kama mafuriko yafurikavyo, Bwana amewafurikia adui zangu mbele yangu.” Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Baal-Perasimu. + 5:20 Maana yake Bwana Afurikae.

Psalms 18:13Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1

Psalms 144:1Sifa ni kwa Bwana Mwamba wangu, 2 aifundishaye mikono yangu vita, 2 na vidole vyangu kupigana. 1

Isaiah 28:21Bwana atainuka kama alivyofanya kwenye Mlima Perasimu, 2 ataghadhibika kama alivyofanya katika Bonde la Gibeoni: 1 ili kufanya kazi yake, kazi yake ya ajabu, 2 ili kutimiza kazi yake, kazi yake ngeni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 14:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 14:101 Nyakati 141 Nyakati 14:12 →