1 Nyakati 16:26
Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, 2 lakini Bwana aliziumba mbingu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For all the gods of the people are idols: but the LORD made the heavens.
In Context
27Fahari na enzi viko mbele yake; 2 nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 1
Cross References
Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1
Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1
Isaiah 42:5Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1
Isaiah 44:24“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, aliyekuumba tumboni: 1 “Mimi ni Bwana, 1 niliyeumba vitu vyote, 1 niliyezitanda mbingu peke yangu, 1 niliyeitandaza nchi mwenyewe, 1
Jeremiah 10:12Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake, 2 akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake, 2 na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake. 1
1 Corinthians 8:4Hivyo basi, kuhusu kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu: Tunajua kwamba “Sanamu si kitu chochote kabisa duniani,” na kwamba “Kuna Mungu mmoja tu.”