Isaiah 42:5
Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:10Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
Genesis 2:7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Job 27:3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1
Job 34:14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1
Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1
Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1