Ayubu 9:8
Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which alone spreadeth out the heavens, and treadeth upon the waves of the sea.
In Context
7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; 2 naye huizima mianga ya nyota. 1
Cross References
Genesis 1:6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”
Job 26:7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; 2 naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 1
Job 38:11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; 2 hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 1
Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1
Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1
Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1