1 Nyakati 19:9
Waamoni wakatoka wakajipanga wakiwa tayari kwa vita langoni la mji wao, wakati wale wafalme wengine waliokuja nao walijipanga kwa vita uwanjani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji.
Cross References
2 Samuel 10:8Waamoni wakatoka wakajipanga wakiwa tayari kwa vita langoni la mji wao, wakati Waaramu wa Soba, wa Rehobu, watu wa Tobu na Maaka walikuwa peke yao kwenye eneo la wazi.
1 Kings 20:1Wakati huu, Ben-Hadadi mfalme wa Aramu akakusanya jeshi lake lote. Akifuatana na wafalme thelathini na wawili wakiwa na farasi na magari ya vita, akakwea kuuzingira kwa jeshi Samaria na kuishambulia.
2 Chronicles 13:3Abiya aliingia vitani na jeshi la watu 400,000 wenye uwezo wa kupigana, naye Yeroboamu akapanga jeshi dhidi ya Abiya akiwa na jeshi la watu 800,000 wenye uwezo.
Isaiah 28:6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1
Joel 2:5Wanatoa sauti kama magari ya vita, 2 wanaporukaruka juu ya vilele vya milima, 1 kama mlio wa miali ya moto ilayo mabua, 2 kama jeshi kubwa lililojipanga kwa ajili ya vita. 1