1 Chronicles 2:1
Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the sons of Israel; Reuben, Simeon, Levi, and Judah, Issachar, and Zebulun,
In Context
2Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. 1 Yuda 2 Hadi Wana Wa Hesroni 1
Cross References
Genesis 29:32Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, + 29:32 Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu. kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Genesis 49:2“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, 2 msikilizeni baba yenu Israeli. 1
Exodus 1:2Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda;
Numbers 13:4Haya ndiyo majina yao: 1 kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri; 1