The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:2

Genesis 49:2

“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, 2 msikilizeni baba yenu Israeli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Gather yourselves together, and hear, ye sons of Jacob; and hearken unto Israel your father.

In Context

1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 1

3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, 2 nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, 2 umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Psalms 34:12Yeyote kati yenu anayependa uzima 2 na kutamani kuziona siku nyingi njema, 1

Proverbs 4:1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; 2 sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 1

Proverbs 6:20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1

Proverbs 7:24Sasa basi wanangu, nisikilizeni; 2 sikilizeni kwa makini nisemalo. 1

Proverbs 23:22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, 2 wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 1

Isaiah 48:14“Kusanyikeni, ninyi nyote, msikilize: 2 Ni ipi miongoni mwa hizo sanamu 2 ambayo imetabiri vitu hivi? 1 Watu wa Bwana waliochaguliwa na kuungana 2 watatimiza kusudi lake dhidi ya Babeli; 2 mkono wa Mungu utakuwa dhidi ya Wakaldayo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:1Genesis 49Genesis 49:3 →