The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 2 › 1 Chronicles 2:3

1 Chronicles 2:3

Wana wa Yuda walikuwa: 2 Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana alimuua.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sons of Judah; Er, and Onan, and Shelah: which three were born unto him of the daughter of Shua the Canaanitess. And Er, the firstborn of Judah, was evil in the sight of the LORD; and he slew him.

In Context

2Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. 1 Yuda 2 Hadi Wana Wa Hesroni 1

4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 1

Read all of 1 Chronicles 2

Cross References

Genesis 38:3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.

Genesis 38:5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.

Genesis 38:10Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa Bwana, hivyo, pia Bwana akamuua Onani.

Numbers 26:19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.

1 Chronicles 9:5Wazao wa Washiloni waliorudi ni: 2 Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Chronicles 2:21 Chronicles 21 Chronicles 2:4 →