1 Chronicles 2:4
Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Tamar his daughter in law bare him Pharez and Zerah. All the sons of Judah were five.
In Context
5Wana wa Peresi walikuwa: 2 Hesroni na Hamuli. 1
Cross References
Genesis 38:13Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,”
Genesis 38:30Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka, naye akaitwa Zera.
Numbers 26:20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1
Ruth 4:18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: 1 Peresi alimzaa Hesroni, 1
1 Chronicles 9:4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 1
Nehemiah 11:4ambapo watu wengine kutoka Yuda na Benyamini waliishi Yerusalemu). Kutoka wazao wa Yuda: Athaya mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, mzao wa Peresi.