The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:8

Genesis 49:8

“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Judah, thou art he whom thy brethren shall praise: thy hand shall be in the neck of thine enemies; thy father’s children shall bow down before thee.

In Context

7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, 2 nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! 1 Nitawatawanya katika Yakobo 2 Na kuwasambaza katika Israeli. 1

9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Genesis 29:35Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu Bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda. + 29:35 Yuda maana yake Sifa, yaani Nitamsifu Yehova. Kisha akaacha kuzaa watoto.

Genesis 42:6Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.

Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1

Numbers 10:14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.

Deuteronomy 33:7Akasema hili kuhusu Yuda: 1 “Ee Bwana, sikia kilio cha Yuda, 2 mlete kwa watu wake. 1 Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. 2 Naam, uwe msaada wake 2 dhidi ya adui zake!”

Joshua 15:20Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:7Genesis 49Genesis 49:9 →