Genesis 46:10
Wana wa Simeoni ni: 2 Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Wana wa Reubeni ni: 2 Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 1
11Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Cross References
Genesis 28:1Basi Isaki akamwita Yakobo, akambariki na akamwamuru, akisema, “Usioe mwanamke wa Kikanaani.
Genesis 34:25Baada ya siku tatu, wakati wote wakiwa wangali katika maumivu, wana wawili wa Yakobo, yaani Simeoni na Lawi, ndugu zake Dina, wakachukua panga zao na kuvamia mji ambao haukutazamia vita, wakaua kila mwanaume.
Genesis 49:5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: 2 panga zao ni silaha za jeuri. 1
Numbers 1:6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 1
Numbers 2:12Kabila la Simeoni watapiga kambi karibu na Reubeni. Kiongozi wa watu wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Surishadai.
1 Chronicles 2:1Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,