1 John 2:11
Lakini yeyote amchukiaye ndugu yake, yuko gizani na anaenenda gizani, wala hajui anakokwenda, kwa sababu giza limempofusha macho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza.
12Nawaandikia ninyi, watoto wadogo, 2 kwa sababu dhambi zenu 2 zimesamehewa kwa ajili ya Jina lake. 1
Cross References
Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
John 12:40“Amewafanya vipofu, 2 na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, 1 ili wasiweze kuona kwa macho yao, 2 wala kuelewa kwa mioyo yao, 2 wasije wakageuka nami nikawaponya.”
2 Corinthians 4:4Kwa habari yao, mungu wa dunia hii amepofusha akili za wasioamini, ili wasione nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu.
1 John 1:6Kama tukisema kwamba twashirikiana naye huku tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatutendi lililo kweli.
Revelation 3:17Kwa maana unasema: ‘Mimi ni tajiri, nimejilimbikizia mali, wala sihitaji kitu chochote.’ Lakini hutambui ya kwamba wewe ni mnyonge, wa kuhurumiwa, maskini, kipofu, tena uliye uchi.