1 Yohana 2:13
Nawaandikia ninyi, akina baba, 2 kwa sababu mmemjua 2 yeye aliye tangu mwanzo. 1 Nawaandikia ninyi vijana 2 kwa sababu mmemshinda yule mwovu. 1 Nawaandikia ninyi watoto wadogo, 2 kwa sababu mmemjua Baba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Nawaandikia ninyi, watoto wadogo, 2 kwa sababu dhambi zenu 2 zimesamehewa kwa ajili ya Jina lake. 1
Cross References
Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1
Psalms 148:12wanaume vijana na wanawali, 2 wazee na watoto. 1
Joel 2:28“Hata itakuwa, baada ya hayo, 2 nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 wazee wenu wataota ndoto, 2 na vijana wenu wataona maono. 1
Matthew 11:27“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu: Hakuna mtu amjuaye Mwana ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia. 1 Yesu Awaita Waliolemewa Na Mizigo
Matthew 13:38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
John 8:19Ndipo wakamuuliza, “Huyo Baba yako yuko wapi?” Yesu akawajibu, “Ninyi hamnifahamu mimi ni nani, wala hammfahamu Baba yangu. Kama mngenifahamu mimi, mngemfahamu na Baba yangu.”