1 John 2:14
Nawaandikia ninyi akina baba, 2 kwa sababu mmemjua 2 yeye aliye tangu mwanzo. 1 Nawaandikia ninyi vijana, 2 kwa sababu mna nguvu, 2 na neno la Mungu linakaa ndani yenu, 2 nanyi mmemshinda yule mwovu. 1 Msiupende Ulimwengu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
John 8:31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Ephesians 6:10Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
Colossians 1:11mkiwa mmetiwa nguvu kwa uwezo wote kwa kadiri ya nguvu yake yenye utukufu, ili mpate kuwa na wingi wa saburi na uvumilivu. Nanyi kwa furaha
2 Timothy 2:1Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.
1 John 1:10Kama tukisema hatukutenda dhambi, twamfanya yeye kuwa mwongo na neno lake halimo ndani yetu.