1 John 2:8
Lakini nawaandikia amri mpya, yaani, lile neno lililo kweli ndani yake na ndani yenu, kwa sababu giza linapita na ile nuru ya kweli tayari inangʼaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
Cross References
Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1
Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1
Isaiah 9:2Watu wanaotembea katika giza 2 wameona nuru kuu, 1 wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia. 1
Malachi 4:2Bali kwenu ninyi mnaoliheshimu Jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mabawa yake. Nanyi mtatoka nje na kurukaruka kama ndama aliyeachiwa kutoka zizini.
Luke 1:79ili kuwaangazia wale waishio gizani 2 na katika uvuli wa mauti, 1 kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”
John 1:9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.