1 Samweli 25:39
Daudi aliposikia kwamba Nabali amekufa, akasema, “Ahimidiwe Bwana, ambaye amenitetea shauri langu dhidi ya Nabali kwa kuwa alinitendea kwa dharau. Amemzuia mtumishi wake asitende mabaya na Bwana ameuleta ubaya wa Nabali juu ya kichwa chake mwenyewe.” Kisha Daudi akatuma ujumbe kwa Abigaili kumwomba awe mke wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Baada ya siku kumi, Bwana akampiga Nabali, naye akafa.
Cross References
Judges 5:2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, 2 wakati watu wanapojitoa 2 kwa hiari yao wenyewe: 2 mhimidini Bwana! 1
1 Samuel 25:26“Basi sasa, kwa kuwa Bwana amekuzuia, wewe bwana wangu, kutokumwaga damu na kutolipiza kisasi kwa mikono yako mwenyewe, hakika kama Bwana aishivyo na kama uishivyo, maadui zako na wote wanaokusudia kumdhuru bwana wangu wawe kama Nabali.
1 Samuel 25:34La sivyo, hakika kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye amenizuia nisiwadhuru, kama usingekuja haraka kunilaki, hakuna hata mwanaume mmoja wa Nabali angeachwa hai kufikia mapambazuko.”
2 Samuel 1:16Kwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” 1 Ombolezo La Daudi Kwa Ajili Ya Sauli Na Yonathani
2 Samuel 22:47“ Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! 2 Atukuzwe Mungu, 2 Mwamba, Mwokozi wangu! 1
Esther 7:10Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.