The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:47

2 Samweli 22:47

“ Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! 2 Atukuzwe Mungu, 2 Mwamba, Mwokozi wangu! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD liveth; and blessed be my rock; and exalted be the God of the rock of my salvation.

In Context

46Wote wanalegea, 2 wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 1

48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, 2 ayawekaye mataifa chini yangu, 2

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1

2 Samuel 22:3Mungu wangu ni mwamba wangu, 2 ambaye kwake ninakimbilia, 2 ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. 1 Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu 2 na mwokozi wangu, 2 huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. 1

Psalms 89:26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, 2 Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 1

Luke 1:47nayo roho yangu inamfurahia 2 Mungu Mwokozi wangu, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:47

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:462 Samweli 222 Samweli 22:48 →