2 Chronicles 11:6
Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He built even Bethlehem, and Etam, and Tekoa,
In Context
5Rehoboamu akaishi Yerusalemu akajenga miji yenye ngome katika Yuda:
Cross References
Genesis 35:19Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
1 Samuel 17:12Basi Daudi alikuwa mwana wa Mwefrathi jina lake Yese aliyekuwa ametoka Bethlehemu ya Yuda. Yese alikuwa na wana wanane, naye wakati wa Sauli alikuwa mzee tena wa umri mkubwa.
1 Chronicles 4:3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: 2 Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
2 Chronicles 20:20Asubuhi na mapema wakaondoka kuelekea Jangwa la Tekoa. Walipoanza safari, Yehoshafati akasimama akasema, “Nisikilizeni, enyi Yuda, na watu wa Yerusalemu! Mwaminini Bwana Mungu wenu, hivyo mtathibitika, wasadikini manabii wake nanyi mtafanikiwa.
Nehemiah 3:27Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli.
Amos 1:1Maneno ya Amosi, mmoja wa wachunga wanyama wa Tekoa: yale aliyoyaona kuhusu Israeli miaka miwili kabla ya tetemeko la ardhi, wakati Uzia alikuwa mfalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli.