2 Nyakati 16:12
Katika mwaka wa thelathini na tisa wa utawala wake, Asa alipatwa na ugonjwa kwenye miguu yake. Ingawa ugonjwa wake ulimzidia sana, hata katika kuugua kwake hakutafuta msaada kutoka kwa Bwana bali kwa matabibu tu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Katika mwaka wa arobaini na moja wa utawala wa Asa, alikufa na kulala na baba zake.
Cross References
1 Chronicles 10:14hakumuuliza Bwana. Kwa hiyo Bwana alimuua, na ufalme akampa Daudi mwana wa Yese.
2 Chronicles 28:22Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.
Jeremiah 8:22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?
Matthew 7:2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
Mark 2:17Yesu aliposikia haya akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Mathayo 9:14-17; Luka 5:33-39)
Luke 6:37“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa.