2 Chronicles 18:27
Mikaya akasema, “Kama utarudi salama, basi Bwana hajanena kupitia kwangu.” Kisha akaongeza kusema, “Zingatieni maneno yangu, enyi watu wote!” 1 Ahabu Anauawa Huko Ramoth-Gileadi (1 Wafalme 22:29-35)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Basi mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda wakaenda Ramoth-Gileadi.
Cross References
Numbers 16:29Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi Bwana hakunituma mimi.
Micah 1:2Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, 2 sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, 1 ili Bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, 2 Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. 1 Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu 1
Matthew 15:10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Luke 20:45Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Yesu akawaambia wanafunzi wake,