Numbers 16:29
Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi Bwana hakunituma mimi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:34Sasa nenda, uongoze hao watu mpaka mahali nilipokuambia, naye malaika wangu atakutangulia. Pamoja na hayo, wakati utakapofika wa mimi kuwaadhibu, nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi yao.”
1 Kings 22:28Mikaya akasema, “Kama utarudi salama, basi Bwana hajanena kupitia kwangu.” Kisha akaongeza kusema, “Zingatieni maneno yangu, enyi watu wote!” 1 Ahabu Auawa Ramoth-Gileadi (2 Nyakati 18:28-34)
Job 35:15pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu 2 wala haangalii uovu hata kidogo? 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Lamentations 4:22Ee Binti Sayuni, adhabu yako itaisha, 2 hatarefusha muda wako wa kukaa uhamishoni. 1 Lakini, ee Binti Edomu, ataadhibu dhambi yako, 2 na atafunua uovu wako.