2 Nyakati 22:4
Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana kama walivyokuwa wamefanya nyumba ya Ahabu, kwa kuwa baada ya kufa kwa baba yake nyumba ya Ahabu ndio waliokuwa washauri wake, kwa uangamivu wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 24:17Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Proverbs 1:10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Micah 6:16Mmezishika sheria za Omri 2 na matendo yote ya nyumba ya Ahabu, 2 tena umefuata desturi zao. 1 Kwa hiyo nitakutoa kwa maangamizi 2 na watu wako kuwa dhihaka; 2 mtachukua dharau za mataifa.”