Proverbs 1:10
Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, if sinners entice thee, consent thou not.
In Context
9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, 2 na mkufu wa kuipamba shingo yako. 1
Cross References
Genesis 37:20Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Deuteronomy 13:8usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.
Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1
Proverbs 7:21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1
Proverbs 16:29Mtu mkali humvuta jirani yake 2 na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 1
Proverbs 24:2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, 2 nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 1