2 Nyakati 24:17
Baada ya kifo cha Yehoyada, wakuu wa Yuda walikuja kumpa mfalme heshima, naye akawasikiliza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 8:33Mara tu alipofariki Gideoni, Waisraeli wakarudia hali ya uovu na kufanya uasherati kwa kuabudu Mabaali. Wakamsimamisha Baal-Berithi kuwa mungu wao na
2 Chronicles 10:8Lakini Rehoboamu akakataa shauri alilopewa na wazee na akataka ushauri kwa vijana wanaume rika lake waliokuwa wakimtumikia.
2 Chronicles 22:4Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana kama walivyokuwa wamefanya nyumba ya Ahabu, kwa kuwa baada ya kufa kwa baba yake nyumba ya Ahabu ndio waliokuwa washauri wake, kwa uangamivu wake.
Proverbs 20:19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, 2 kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 1
Proverbs 26:28Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, 2 nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Proverbs 29:12Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1