The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:14

Isaya 10:14

Kama mtu atiavyo mkono kwenye kiota, 2 ndivyo mkono wangu ulivyochukua utajiri wa mataifa; 1 kama watu wakusanyavyo mayai yaliyoachwa, 2 ndivyo nilivyokusanya nchi zote; 1 wala hakuna hata mmoja aliyepiga bawa 2 au kufungua kinywa chake kutoa mlio.’ ” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And my hand hath found as a nest the riches of the people: and as one gathereth eggs that are left, have I gathered all the earth; and there was none that moved the wing, or opened the mouth, or peeped.

In Context

13Kwa kuwa anasema: 1 “ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili, 2 kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu. 1 Niliondoa mipaka ya mataifa, 2 niliteka nyara hazina zao, 1 kama yeye aliye shujaa 2 niliwatiisha wafalme wao. 1

15Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1

Read all of Isaya 10

Cross References

Job 31:25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, 2 ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 1

Proverbs 21:6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo 2 ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha. 1

Isaiah 37:25Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.’ 1

Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1

Nahum 2:9Chukueni nyara za fedha! 2 Chukueni nyara za dhahabu! 1 Wingi wake hauna mwisho, 2 utajiri kutoka hazina zake zote! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:13Isaya 10Isaya 10:15 →