2 Chronicles 7:15
Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now mine eyes shall be open, and mine ears attent unto the prayer that is made in this place.
In Context
Cross References
1 Kings 8:29Macho yako na yafumbuke kuelekea Hekalu hili usiku na mchana, mahali hapa ambapo ulisema, ‘Jina langu litakuwako humo,’ ili kwamba upate kusikia maombi ambayo mtumishi wako ataomba kuelekea mahali hapa.
2 Chronicles 6:40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 1
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Isaiah 37:17Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno yote ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.