The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 1 › Joel 1:9

Joel 1:9

Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Bwana. 1 Makuhani wanaomboleza, 2 wale wanaohudumu mbele za Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The meat offering and the drink offering is cut off from the house of the LORD; the priests, the LORD’S ministers, mourn.

In Context

8Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia 2 anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake. 1

10Mashamba yameharibiwa, 2 ardhi imekauka; 1 nafaka imeharibiwa, 2 mvinyo mpya umekauka, 2 mafuta yamekoma. 1

Read all of Joel 1

Cross References

2 Chronicles 13:10“Lakini kwetu sisi, Bwana ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Makuhani wanaomtumikia Bwana ni wana wa Aroni, nao Walawi wakiwasaidia.

Lamentations 1:4Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza, 2 kwa kuwa hakuna yeyote anayekuja 2 kwenye sikukuu zake zilizoamriwa. 1 Malango yake yote yamekuwa ukiwa, 2 makuhani wake wanalia kwa uchungu, 1 wanawali wake wanahuzunika, 2 naye yuko katika uchungu wa maumivu makuu. 1

Hosea 9:4Hawatammiminia Bwana sadaka ya divai 2 wala dhabihu zao hazitampendeza. 1 Dhabihu kama hizo zitakuwa kwao 2 kama mkate wa waombolezaji; 2 nao wote wazilao watakuwa najisi. 1 Chakula hiki kitakuwa kwa ajili yao wenyewe; 2 kisije katika Hekalu la Bwana. 1

Joel 1:16Je, chakula hakikukatiliwa mbali 2 mbele ya macho yetu: 1 furaha na shangwe 2 kutoka nyumba ya Mungu wetu? 1

Joel 2:17Makuhani, ambao wanahudumu mbele za Bwana, 2 na walie katikati ya ukumbi 2 wa Hekalu na madhabahu. 1 Waseme, “Wahurumie watu wako, Ee Bwana. 2 Usifanye urithi wako kitu cha kudharauliwa, 2 neno la dhihaka kati ya mataifa. 1 Kwa nini wasemezane miongoni mwao, 2 ‘Yuko wapi Mungu wao?’ ” 1 Jibu La Bwana 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 1:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 1:8Joel 1Joel 1:10 →