The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:22

2 Samweli 1:22

Kutokana na damu ya waliouawa, 2 kutokana na miili ya wenye nguvu, 1 ule upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma. 2 Upanga wa Sauli haukurudi bure. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

From the blood of the slain, from the fat of the mighty, the bow of Jonathan turned not back, and the sword of Saul returned not empty.

In Context

21“Enyi milima ya Gilboa, 2 msipate umande wala mvua, 2 wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. 1 Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, 2 ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta. 1

23“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1

Read all of 2 Samweli 1

Cross References

Deuteronomy 32:42Nitailevya mishale yangu kwa damu, 2 wakati upanga wangu ukitafuna nyama: 1 damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, 2 vichwa vya viongozi wa adui.” 1

1 Samuel 14:47Baada ya Sauli kujitwalia utawala katika Israeli, alipigana dhidi ya adui zake kila upande: Moabu, Waamoni, Edomu, wafalme wa Soba, na Wafilisti. Popote alipogeukia, aliwashinda.

1 Samuel 18:4Yonathani akavua joho alilokuwa amevaa na kumpa Daudi, pamoja na koti lake, silaha zake, hata pamoja na upanga wake, upinde wake na mshipi wake.

Jeremiah 50:9Kwa maana nitaamsha na kuleta dhidi ya Babeli 2 muungano wa mataifa makubwa kutoka nchi ya kaskazini. 1 Watashika nafasi zao dhidi yake, 2 naye kutokea kaskazini atatekwa. 1 Mishale yao itakuwa kama mishale ya mashujaa walio hodari, 2 ambao hawawezi kurudi mikono mitupu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 1:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 1:212 Samweli 12 Samweli 1:23 →