The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:42

Kumbukumbu 32:42

Nitailevya mishale yangu kwa damu, 2 wakati upanga wangu ukitafuna nyama: 1 damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, 2 vichwa vya viongozi wa adui.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will make mine arrows drunk with blood, and my sword shall devour flesh; and that with the blood of the slain and of the captives, from the beginning of revenges upon the enemy.

In Context

41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1

43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, 2 kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, 1 atalipiza kisasi juu ya adui zake 2 na kufanya upatanisho 2 kwa ajili ya nchi na watu wake.

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 32:23“Nitalundika majanga juu yao 2 na kutumia mishale yangu dhidi yao. 1

Psalms 45:5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, 2 mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako. 1

Psalms 68:23ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako, 2 huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 1

Jeremiah 16:10“Utakapowaambia watu hawa mambo haya yote na wakakuuliza, ‘Kwa nini Bwana ameamuru maafa makubwa kama haya dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya Bwana, Mungu wetu?’

Jeremiah 46:10Lakini ile siku ni ya Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 siku ya kulipiza kisasi, 2 kisasi juu ya adui zake. 1 Upanga utakula hata utakapotosheka, 2 hadi utakapozima kiu yake kwa damu. 1 Kwa maana Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatoa dhabihu 2 kwenye nchi ya kaskazini, kando ya Mto Frati. 1

Lamentations 2:5Bwana ni kama adui; 2 amemmeza Israeli. 1 Amemeza majumba yake yote ya kifalme 2 na kuangamiza ngome zake. 1 Ameongeza huzuni na maombolezo 2 kwa ajili ya Binti Yuda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:42

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:41Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:43 →