The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:24

2 Samweli 1:24

“Enyi binti za Israeli, 2 lieni kwa ajili ya Sauli, 1 ambaye aliwavika nguo 2 nyekundu na maridadi, 1 ambaye aliremba mavazi yenu 2 kwa mapambo ya dhahabu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye daughters of Israel, weep over Saul, who clothed you in scarlet, with other delights, who put on ornaments of gold upon your apparel.

In Context

23“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1

25“Tazama jinsi mashujaa 2 walivyoanguka vitani! 1 Yonathani ameuawa 2 mahali pako palipoinuka. 1

Read all of 2 Samweli 1

Cross References

Psalms 68:12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, 2 watu waliobaki kambini waligawana nyara. 1

Isaiah 3:16Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1

1 Timothy 2:9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 1:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 1:232 Samweli 12 Samweli 1:25 →