The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:16

Isaiah 3:16

Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Moreover the LORD saith, Because the daughters of Zion are haughty, and walk with stretched forth necks and wanton eyes, walking and mincing as they go, and making a tinkling with their feet:

In Context

15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

17Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; 2 Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”

Read all of Isaiah 3

Cross References

Proverbs 21:4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, 2 ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 1

Song of Solomon 3:11Tokeni nje, ninyi binti za Sayuni, 2 mkamtazame Mfalme Solomoni akiwa amevaa taji, 1 taji ambalo mama yake alimvika 2 siku ya arusi yake, 2 siku ambayo moyo wake ulishangilia.

Isaiah 3:18Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,

Isaiah 24:4Dunia inakauka na kunyauka, 2 dunia inanyongʼonyea na kunyauka, 2 waliotukuzwa wa dunia wananyongʼonyea. 1

Ezekiel 16:49“ ‘Sasa hii ilikuwa ndiyo dhambi ya dada yako Sodoma: yeye na binti zake walikuwa na majivuno, walafi na wazembe, hawakuwasaidia maskini na wahitaji.

Matthew 21:5“Mwambieni Binti Sayuni, 2 ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, 1 ni mnyenyekevu, naye amepanda punda, 2 juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:15Isaiah 3Isaiah 3:17 →