2 Samuel 11:21
Ni nani aliyemuua Abimeleki mwana wa Yerub-Besheth? Je, mwanamke hakutupa juu yake jiwe la juu la kusagia kutoka ukutani, kwa hiyo akafa huko Thebesi? Kwa nini mlisogea hivyo karibu ya ukuta?’ Ikiwa atakuuliza hivi, ndipo umwambie, ‘Pia mtumishi wako Uria, Mhiti, amekufa.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema.
Cross References
Judges 7:1Ndipo Yerub-Baali (yaani Gideoni) na lile jeshi lililokuwa pamoja naye, wakaondoka asubuhi na mapema na kupiga kambi kando ya chemchemi ya Harodi. Kambi ya Wamidiani ilikuwa kaskazini yao katika bonde karibu na kilima cha More.
Judges 9:53mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
2 Samuel 3:34Mikono yako haikufungwa, 2 miguu yako haikufungwa pingu. 1 Ulianguka kama yeye aangukaye 2 mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.
Isaiah 14:10Wote wataitikia, 2 watakuambia, 1 “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; 2 wewe umekuwa kama sisi.” 1