The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:29

2 Samweli 22:29

Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. 2 Bwana hulifanya giza langu 2 kuwa mwanga. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thou art my lamp, O LORD: and the LORD will lighten my darkness.

In Context

28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, 2 lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi 2 ili uwashushe. 1

30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, 2 nikiwa pamoja na Mungu wangu 2 nitaweza kuruka ukuta. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Job 29:3wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, 2 na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza! 1

Psalms 18:28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; 2 Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 1

Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1

Psalms 112:4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, 2 yule mwenye rehema, huruma na haki. 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

Malachi 4:2Bali kwenu ninyi mnaoliheshimu Jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mabawa yake. Nanyi mtatoka nje na kurukaruka kama ndama aliyeachiwa kutoka zizini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:282 Samweli 222 Samweli 22:30 →