The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 46 › Yeremia 46:7

Yeremia 46:7

“Ni nani huyu ajiinuaye kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who is this that cometh up as a flood, whose waters are moved as the rivers?

In Context

6Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, 2 wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. 1 Kaskazini, kando ya Mto Frati, 2 wanajikwaa na kuanguka. 1

8Misri hujiinua kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi. 1 Husema, ‘Nitainuka na kufunika dunia, 2 nitaiangamiza miji na watu wake.’ 1

Read all of Yeremia 46

Cross References

Song of Solomon 3:6Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani 2 kama nguzo ya moshi, 1 anayenukia manemane na uvumba 2 iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote 2 vya mfanyabiashara? 1

Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1

Jeremiah 47:2Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama jinsi maji yanavyoinuka huko kaskazini, 2 yatakuwa mafuriko yenye nguvu sana. 1 Yataifurikia nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake, 2 miji na wale waishio ndani yake. 1 Watu watapiga kelele; 2 wote waishio katika nchi wataomboleza 1

Daniel 11:22Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa.

Revelation 12:15Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke na kumkumba kama mafuriko.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 46:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 46:6Yeremia 46Yeremia 46:8 →